EDUCATION HUB::Find education news, events, schools and college in East Africa

Technology

Umejiaadaa kwa simu za kukunja?

OK! Jiandae kwa simu ya mkononi ambaye inaweza kukunjwa na kukunjuliwa kadri upendavyo na kuitupia ndani ya waleti yake yenye ukubwa wowote. Baada ya kutengeneza kila aina ya 'gadget', Samsung inajiandaa kutengeneza simu mpya ambazo zinakunjika; bila shaka hizi zitakuwa hazivunjiki kwasababu lazima zitakuwa za mpira.

Add a comment (0)

Ubao, madaftari na chaki vitabaki Bongo


MADARASA ambayo yatakuwa na kila kitu katika mfumo wa 'touchscreen' ndio habari inayotaka kuuteka ulimwengu sasa. 

Add a comment (0)

Hili ndio jenereta linaloendeshwa kwa haja ndogo

WASICHANA wanne kutoka Nigeria wamegundua jinsi ambacyo mkojo unaweza kutumika kama mafuta ya kusukuma jenereta. Wasichana hao,  Duro-Aina Adebola,Akindele Abiola,  Faleke Oluwatoyin na Bello Eniola, wote wenye umri wa miaka 14 wamefanya maonyesho ya jenereta hilo na limeonekana kufanya kazi.

Add a comment (0)

You are here: Home