Hub for education news and events

Unaigusa simu yako mara 2,617 kwa siku

Takribani karne moja sasa binadamu wamekuwa ‘wakiitembelea’ dunia kupitia  simu za mkononi iwe kwa kupigiana au kutumiana ujumbe mfupi wa maandishi au kuwasiliana katika mitandao ya kijamii.

Add a comment (0)

Read more: Unaigusa simu yako mara 2,617 kwa siku

Ijue ‘selfie stick’

Kwa wafuatiliaji wa masuala ya teknolojia ‘selfie stick’ sio msamiati mgeni masikioni mwao, lakini kwa faida ya wengine hiki ni kifaa ambacho hutumika kushikilia simu au kamera ndogo wakati wa kujipiga picha kama kinavyoonekana pichani.

Add a comment (0)

Read more: Ijue ‘selfie stick’

Ubao, madaftari na chaki vitabaki Bongo


MADARASA ambayo yatakuwa na kila kitu katika mfumo wa 'touchscreen' ndio habari inayotaka kuuteka ulimwengu sasa. 

Add a comment (0)

Read more: Ubao, madaftari na chaki vitabaki Bongo

Umejiaadaa kwa simu za kukunja?

OK! Jiandae kwa simu ya mkononi ambaye inaweza kukunjwa na kukunjuliwa kadri upendavyo na kuitupia ndani ya waleti yake yenye ukubwa wowote. Baada ya kutengeneza kila aina ya 'gadget', Samsung inajiandaa kutengeneza simu mpya ambazo zinakunjika; bila shaka hizi zitakuwa hazivunjiki kwasababu lazima zitakuwa za mpira.

Add a comment (1)

Read more: Umejiaadaa kwa simu za kukunja?

Hili ndio jenereta linaloendeshwa kwa haja ndogo

WASICHANA wanne kutoka Nigeria wamegundua jinsi ambacyo mkojo unaweza kutumika kama mafuta ya kusukuma jenereta. Wasichana hao,  Duro-Aina Adebola,Akindele Abiola,  Faleke Oluwatoyin na Bello Eniola, wote wenye umri wa miaka 14 wamefanya maonyesho ya jenereta hilo na limeonekana kufanya kazi.

Add a comment (1)

Read more: Hili ndio jenereta linaloendeshwa kwa haja ndogo

You are here: Home Technology news